Raia wa Nepal anaefahamika
kwa jina la Chandra Bahadur Dangi ambae alivunja rikodi ya mtu mfupi
kuliko watu duniani katika Guinness Wordl Recording za mwaka 2012.
Chandra amefariki katika hospitali ya Lyndon B. Johnson Tropical
Medical Center inayopatikana Pago Pago katika kisiwa cha Samoa
kilichoka chini ya mamlaka ya Marekani Kusini mwa bahari ya Pasifiki
Ijumaa.
Chandra Dangi alikuwa na kimo cha sentimita 54,6 na uzito wa kila
12.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na
daktari aliekuwa akisimamia matibabu ya Dangi, alifahamisha kuwa Dangi
alifariki kutokana na maradhi monia yaliokuwa yakimsumbua.


0 comments:
Post a Comment