Image
Image

Nafasi za Masomo Chuo cha utangazaji PSJ,Tegeta kuanza Mwezi wa Pili 2016.


Mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo,PRACTICAL SCHOOL OF JOURNALISM,PSJ, anakutangazia muhula mpya wa masomo ya uandishi wa habari na utangazaji kwa Vitendo utakaoanza Mwezi wa Pili (February), 2016 kwa ngazi ya (Basic Certificate) Cheti NTA Level 4 pamoja na (Ordinal Diploma) Astashada NTA 5 na 6. 
Sifa Wanafunzi watakaoomba masomo ya ngazi ya Astashahada wawe wamemaliza kidato cha nne na kufaulu masomo manne. 
Na wale watakaoomba kusomea Stashahada wawe wamemaliza kidato cha sita na kufaulu masomo mawili ama awe na Astashahada. Pia chuo kinatoa mafunzo ya VETA kwa wanafunzi wenye ufaulu mdogo ambao hawakupata alama za ufaulu wa masomo manne katika mtihani wa kidato cha nne. Chuo kimesajliwa na Nacte No.REG/BTP/023P. 
Chuo Kina Studio za Kisasa za Radio, Tv pamoja na Gazeti. Huduma za Hostel zinapatikana katika mazingira mazuri pamoja na chakula muda wote. Fomu zinapatikana Chuoni Tegeta Kwa mawasiliano zaidi; TEL. +255 22 2630 162 MOB. +255 782 707 030 / +255 764 424 555 Email: psjournalism14@gmail.com
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments:

  1. hakuna nafasi za kujiunga na chuo chako maana matokeo yangu yapo hivi c 3(history, kiswahili & English), d... 3(geography,civics,biology).. f 3(physics,math& chemistry)

    ReplyDelete