Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Bibi HILLARY CLINTON
anaelekea kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mgombea urais wa Marekani.
Hiyo
imejitokeza baada ya kumalizika upigaji kura za mchujo wa uteuzi wa
wagombea urais wa Marekani katika majimbo matano ya kaskazini-mashariki
mwa Marekani.
Matokeo yanaonyesha kuwa mgombea wa Chama cha
Republican Bwana DONALD TRUMP ameshinda majimbo yote ya Connecticut,
Delaware, Maryland,Pennsylvania na Rhode Island.
Naye mgombea wa
Chama cha Democrat B HILLARY CLINTON amemzidi mpinzani wake BERNIE
SANDERS licha ya mpinzani wake huyo kupata ushindi katika jimbo la Rhode
Island.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment