Image
Image

Kenya yamaliza uokoaji kwenye jengo lililoanguka* Serikali kutoa msaada kwa Manusura.


Serikali ya Kenya na idara husika wamemaliza uokoaji kwenye jengo lililoanguka katika eneo la Huruma, mjini Nairobi.
Waziri wa huduma za umma Sicily Kariuki, maofisa wa ngazi ya juu wa serikali na wabunge wa Nairobi walisimamia uokoaji wa mwisho kwenye jengo hilo lenye ghorofa 6 lililoporomoka na kusababisha vifo vya watu 51.
Serikali ya Nairobi imetenga dola elfu 60 za kimarekani kuwasaidia watu walionusurika katika ajali hiyo kupata makazi mapya. Fedha hizo zitatumika kwa kodi, vyombo vya nyumbani na gharama za mazishi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment