Msafara wa meli umeweza kutekelezwa kwa mara ya kwanza kati ya Cuba na Marekani baada ya takriban miaka 50.
Meli iliyoanza msafara huo wa majini Miami, imewasili katika mji mkuu wa Havana nchini Cuba.
Meli
hiyo iliyokuwa imebeba abiria takriban 700, ilipokewa kwa shangwe na
vigelegele na wananchi wa Cuba waliokuwa wamebeba bendera za Marekani na
Cuba.
Usafiri wa majini kati ya Cuba na Marekani ulikuwa
umesimamishwa tangu mwaka 1960 baada ya serikali kuweka vikwazo vya
kibiashara.
Vikwazo vya usafiri wa majini kwa raia wa Cuba vilifutiliwa mbali wiki moja iliyopita.
Home
Kimataifa
Slider
Kwa mara ya kwanza safari ya majini yatekelezwa kati ya Cuba na Marekani baada ya takriban miaka 50.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment