Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro imevipatia vikundi 39 vya wanawake na vijana mikopo ya jumla ya Sh23.8 milioni.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amesema bunge kuwa vikundi hivyo vyenye wanachama 295 vimepata mikopo hiyo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana na Wanawake.
Home
News
Slider
Vikundi vya wanawake na watoto vyapatiwa mikopo ya jumla ya Sh23.8 Milioni Morogoro.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment