Image
Image

Serikali ya Kenya kufunga kambi zote za wakimbizi.

Serikali ya Kenya imepanga kufunga kambi zote za wakimbizi mwishoni mwa mwaka huu.
Katibu wa baraza la mawaziri (Joseph Nkaisserry) amesema zaidi ya watu laki sita ambao kwa sasa wanaishi katika makambi tofauti,watarejeshwa makwao.
Miongoni mwao wameishi katika kambi hizo kwa zaidi ya miaka 25.Serikali ya Kenya inasema wakimbizi wanasababisha mzigo wa kiuchumi huku wakihatarisha usalama.
Watetezi wa waki za binaadam wamekosoa wazo hilo na kusema Kenya watatengeneza mazingira magumu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment