Profesa Assad ameyasema hayo katika
mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la
Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni mwaka
2014 na kukusanya maoni ya ripoti ya CAG.
“Hili
limekuwa tatizo kubwa hapa nchini. Utakuta fedha zimetengwa kwa mradi
fulani, badala yake wanabadilisha matumizi na kununua vitu ambavyo
havina stakabadhi,” amesema Profesa Assad.
“Lengo kuu la fedha hizo za miradi ni kutumika katika shughuli za maendeleo na kutoa huduma muhimu za kijamii.”
0 comments:
Post a Comment