Washukiwa 19 wameripotiwa kutiwa mbaroni na kikosi cha usalama cha Saudi Arabia kwa madai ya kuhusika na mashambulizi ya msikiti wa Madina na Qatif wiki iliyopita.
Kati ya washukiwa hao 19 waliokamatwa, 7 wanaarifiwa kuwa raia wa Saudi Arabia ilhali 12 raia wa Pakistan.
Baada ya mashambulizi hayo kutokea, Saudi Arabia imekuwa ikichukuwa hatua thabiti za kiusalama huku vikosi vyake vikiendesha operesheni ya kuwasaka wahusika.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment