Picha ya Bunduki hapa juu nikutoka Maktaba.
Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni
majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.
Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi
(defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa
wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.
Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.
=> Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao ni Kanali wa Jeshi mstaafu.
sOURCE:jf.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika, Matukio haya ya kuuawa wanausalama wetu yanaogofya taifa,wahusika wakamatwapo sheria ichukue mkondo wake.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment