Serikali ya Kenya yaridhia sheria mpya
itakayoruhusu wawekezaji wa kigeni kuunda maeneo maalum ya kiuchumi
(SEZ) ya kutengeneza bidhaa viwandani na kuuza katika soko la nje .Kwa
mujibu wa katibu mkuu wa sekta ya biashara na viwanda Adan Mohamed
serikali za akaunti zipo na uhuru wa kutenga ardhi kwa ajili ya
wawekezaji wote wa ndani na nje ya nchi watakaotaka kuweka SEZ .
Sheria hiyo mpya pia ni kuwahamasisha wawekezaji wa kigeni kufanya ujenzi wa viwanda kwa kutumia muda mfupi kupitia usaidizi wa mamlaka ya kanda maalum za kiuchumi (SEZA).
Sheria hiyo mpya pia ni kuwahamasisha wawekezaji wa kigeni kufanya ujenzi wa viwanda kwa kutumia muda mfupi kupitia usaidizi wa mamlaka ya kanda maalum za kiuchumi (SEZA).

0 comments:
Post a Comment