Watu 20 na wengine 25 kujeruhiwa kufuatia
mashambulizi ya angani yaliotekelezwa na ndege za vita za Urusi kwa
niaba ya jeshi la Syria mjini Aleppo nchini Syria.Kwa mujibu wa habari zilizotolewa zinafahamisha ya kwamba wengi miongoni mwa waliofariki ni watoto na wanawake.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment