Australia
imeweka rekodi mpya ya ushindi kwenye mashindano ya kimataifa ya mpira
wa magongo maarufu kama Twenty20 baada ya kuishinda Sri Lanka kwa 263-3
huko Pallekele. Jumla ya mipigo 260 iliwekwa na Sri Lanka dhidi ya Kenya
mwaka 2007 Glenn Maxwell nae alipiga mipigo 145 na kutoa nje mipira 65.
Sri
Lanka ilishinda kete na kuchaguliwa kuwa ya kwanza ambapo iliweza
kuhimili seti 178-9 kwa kuwajibu Austraria walioshinda mchezo wa kwanza
kati ya miwili iliyofuatana kwa mizunguko 85. Maxwell, ambaye alifungua
mapambano, na kushinda kwa seti 9- 6 na 14-4 ambayo ni ya pili kwa
ukubwa kwenye mashindano ya cricket ya kimataifa maarufu kama T20.
"kwa
utaratibu ukiwa juu unapata uhuru mwingi zaidi kwenye mchezo na kucheza
kwa tahadhari."Maxwell alisema. Maxwell.Mchezaji mwingine Aaron Finch
anashikilia rekodi yake ya kushinda 156, ambayo alishinda dhidi ya
England mwaka 2013.
Japo kuwa Maxwell mwenye umri wa miaka 27
anacheza michuano ya wazi baada ya Finch kuvunjika kidole kwenye mchezo
dhidi ya Sri Lanka uliofanyika hivi karibuni dhidi ya Ufaransa."kusalia
juu ni mahali fulani ningependa kubaki, lakini kwenye timu nyingi
nilizozichezea sikupata fursa", alisema Maxwell.
Rekodi ya Australia
kwenye michuano ya T20 imekuja siku nane tu baada ya England kuweka
rekodi mpya siku moja kwenye michuano ya kimataifa ya Cricket, 444 dhidi
ya pakistan ambayo iliweka rekodi katika michuano iliyopita dhidi ya
Sri Lanka.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment