Serikali ya Zimbabwe imepiga marufuku maandamano kwa wiki mbili mjini Harare kwa lengo la kuzuia vurugu.
Kwa mujibu wa Radio ya taifa ya Zimbabwe amri hiyo inatekelezwa kuanzia tarehe 1 hadi 16 Septemba.
Amri hiyo inakuja kabla ya maandamano ya vyama vya upinzani
yaliyopangwa kufanyika leo ambayo yanalenga kuilazimisha serikali
kutekeleza mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kabla ya uchaguzi ujao
utakaofanyika mwaka 2018.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment