Mshambuliaji matata wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameongeza mkataba wake na kilabu hiyokwa miaka mitano zaidi.Leo
hii tarehe 7 Novemba siku ya Jumatatu, nyota huyo wa Ureno anatarajiwa
kutia saini mkataba mpya utakaomwezesha kuendelea kuhudumia Real Madrid
hadi tarehe 20 Juni 2021.
Kulingana maelezo yaliyotolewa na kilabu, iliarifiwa kwamba rais wa Real Madrid Florentino Perez pamoja na Ronaldo watafanya mkutano na vyombo vya habari baada ya kutia saini mkataba.
Hivi karibuni, wachezaji kadhaa wa Real Madrid pia walirefusha mikataba yao miongoni mwao wakiwemo Gareth Bale, Toni Kroos na Luka Modric watakaochezea kilabu hiyo hadi mwaka 2022.

0 comments:
Post a Comment