Image
Image

Askofu Gwajima atinga polisi kuhojiwa baada ya kutajwa kwenye list ya wauza dawa za kulevya.

Askofu Josephat Gwajima mchana wa leo wa 06 February 2017 amefika katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar kuhojiwa baada ya kutajwa na RC Paul Makonda siku ya jana.
Gwajima amefika kituoni hapo ikiwa ni saa chache tu alipokuwa akizungumza na wanahabari pamoja waumini wake, huku mazungumzo hayo yakionekana Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Hata hivyo Gwajima na wenzie walitakiwa kuripoti Kesho 10 February 2017 katika kituo cha polisi, baada ya Mkuu wa mkoa kutaja majina ya watu 65 kwamba anatuhumiwa na kujihusisha na suala la uuzaji dawa za kulevya.
Taarifa zaidi kukujia.
Picha na #Mwananchi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment