
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisaini kitabu ha wageni Ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya KCMC ya Moshi, Kilimanjaro, Dk. Gileard Masenga (kulia), baada ya kumjulia hali dereva huyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya KCMC ya Moshi, Kilimanjaro, Dk. Gileard Masenga, akiwaaga Katibu Mkuu wa CCM Abdulraman Kinana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick, baada ya zara hiyo ya kumjulia hali, dereva huo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
0 comments:
Post a Comment