Jenerali Raymond McMaster ambae ana umri wa mika 55 ameteuliwa na rais Donald Trump kuwa mshauri mkuu wa usalama wa taifa Marekani.
McMaster ameteuliwa hapo Februari 20 ambapo amechukuwa nafasi ya jenerali Flynn.
Taarifa zinaarifu kuwa Flynn aliondoka madarakani baada ya kutuhumiwa kuwa na mawasiliano na Urusi.
Mc Master ameteuliwa kuwa mshauri wa usalama kutokana na uzoefu wake katika masuala ya kijeshi. Alikuwa pia akihusika na kuhifadhi silaha na ni mwanajeshi ambae pia anatambulika kwa misiamamo yake kuhusu serikali ya Moscow.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment