Uvaaji wa viatu, sidiria zinazobana na ubebaji vibegi vya mikononi (Handbags) vizito.
Wanawake wanaopambana na maumivu ya sidiria zinazowabana, begi ndogo za mikononi au viatu kwa lengo la kuendana na mitindo mipya, huenda wakafikiri kuwa wanafanya hivyo mkwa wakati huo, la hasha, kwani wataalamu wa afya wanasema hali hiyo ya kutotulizana inaweza kuwasababishia matatizo ya mgongo kwa muda mrefu.
Pembeni mwa mgongo, uvaaji wa sidiria za zinazobana pia husababisha vipele kwenye ngozi, na maradhi mengine, hivyo wanashauriwa kutobeba vitu vizito kwenye mabega yao.
Kituo cha American Chiropractic Association kinapendekeza kuwa wanawake hawapaswi kubeba vitu vyenye uzito wa asilimia 10 ya miili yao kwa kipindi fulani endelevu. Viatu virefu via vimetajwa kusababisha tatizo hilo la mgongo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment