Taarifa iliyoletwa na Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi, Injinia JosepH Nyamhanga, inaeleza kuwa Ngwale atashika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kumaliza mitatu ya awali ya kuanzia 2014.
Sambamba na uteuzi huo, Waziri Mbarawa amewateua wajumbe watano wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Majengo Tanzania kuanzia tarehe Aprili 10 mwaka huu.
Wajumbe hao ni Mhandisi John Bura, Pius Tesha, Profesa Bakari Mwinyiwiwa, Ntuli Mwakahesya na Mhandisi Amiri Mcharo.
0 comments:
Post a Comment