Rais Magufuli awaapisha katibu mkuu, Naibu katibu Mkuu, Kamshna wa TRA, na Mabalozi Ikulu.
Rais John Pombe Magufuli akimwapisha Prof. Kitilia Alexander Mkumbo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Leonard akwilapo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Ave Maria Semakafu kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania Nchini India Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017
0 comments:
Post a Comment