Image
Image

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ampokea rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli     na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma wakiwa wamesimama huku Nyimbo za Mataifa mawili zikiimbwa Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma wakiwa wamesimama huku Nyimbo za Mataifa mawili zikiimbwa Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake na kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma akiteta jambo na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu na wananchi waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma akipiga ngoma mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma  ikiwasili Ikulu jijini Dar es salaam huku akiongozana na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mei 11,2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma zawadi mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment