Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo 24 Mei, 2017.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi.John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,IKULU.
Dar es Salaam.
24 Mei, 2017.
http://tambararehalisi.blogspot.com/2017/05/rais-magufuli-ampa-muda-wa-kujitumbua.html
http://tambararehalisi.blogspot.com/2017/05/profsospeter-muhongo-ana-bahati-mbaya.html
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment