Image
Image

Mpalestina aliyeandika ujumbe wa salamu kwa lugha ya kiarabu mtandao atafsiriwa tofauti, ashikiliwa.

Polisi wa Israel wamemkamata mwanamume mpalestina wiki iliyopita, baada ya kuchapisha salamu kwenye mtandao wa Facebook akisema "habari za asubuhi" kwa lugha ya kiarabu, lakini salamu hizo zikatafsiriwa visivyo kumaanisha "washambulie" kwa lugha ya kiyahudi.
Polisi walithibitisha kuwa mfanyakazi huyo alikamatwa kwa muda mfupi kwa kushukiwa kuchochea lakini akaachiliwa kabla ya makosa hayo kutambuliwa.
Chapisho hilo lilionyesha picha ya mfanyakazi huyo akisimama kando ya tinga tinga katika ukingo wa magharibi.
Magari kama hayo yametumiwa kuwashgambulia waisraeli awli.
Hakuna afisa anayezungumza lugha ya kiarabu aliombwa ushauri kabla ya mtu huyo kukamatwa
Chapisho hilo lililotiliwa shaka kwa sasa limefutwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment