Tanzania na Barrick Gold Corporation zilifikia makubaliano tarehe 19 Oktoba, 2017 nakutiliana saini mkataba wa kutekeleza mwelekeo mpya wa namna kampuni hiyo itakavyo endesha biashara ya madini ya dhahabu yanayochimbwa katika migodi yake hapa nchini,pamoja na kulipa takribani Dola za Marekani Bilioni 700 za kuonesha nianjema ya kufidia madai ya upotevu wa mapato yaliyotokana na biasharahiyo.
Tukiohili litafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanziasaa 5:00 asubuhi na kurushwa moja kwa moja na vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na mitandao mbalimbali.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
23 Oktoba, 2017
0 comments:
Post a Comment