Image
Image

EXCLUSIVE: DREVA WA BODABODA NUSURA KUPOTEZA MAISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Dereva wa pikipiki akiwa amelala chini akiugulia maumivu Mara baada ya kugongwa na gari leo hii katika makutano ya Barabara ya Alli Hasani Mwinyi jijini Dar es Salaam.
Kufuatia ajali hiyo imesababisha kuumia vibaya kwa drva huyo wa pikipiki na kukimbiza hospitali kwa matibabu.
Magari ya kiwa katika Foleni Baada ya Kutokea Ajali
Hii Ndio Pikipiki Iyopata ajali, ikiwa imeegemezwa pembezoni mwa Barabara na wasamaria wema Huku wengine wakimpa dreva huyo huduma ya kwanza
Hili ndio gari liliogongana na Pikipiki na kusababisha ajali.





Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment