Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya Azam FC na Barrack YC II
itakayochezwa kwenye Uwanja wa ATS, Monrovia nchini Liberia leo usiku
itatangazwa moja kwa moja na kituo cha radio cha Kiss FM kuanzia saa 1
kamili usiku.
|
AZAM FC |
Mechi hiyo ilitarajiwa kuonyeshwa moja kwa moja lakini
kukosekana kwa mitambo ya Satelite mechi haitonyeshwa.
Azam ipo Liberia ikiwa ni mwakilishi pekee ambae amebaki kwa Tanzania
katika mechi za kimataifa, ikishiriki katika kombe la shirikisho
Afrika.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment