Image
Image

KATIBU MKUU KIONGOZI NCHINI TANZANIA OMBENI SEFUE AZUNGUMZA NA BALOZI WA OMANI.

Katibu Mkuu Kiongozi  Ombeni  Sefue akiwa kwenye Mazungumzo na Balozi wa Omani nchini Tanzania Mhe. YAhya bin Moussa al Bakari, Ikulu jijini Dar es Salaam, Mazungumzo ambayo yalikuwa na nia yakushirikiana dhidi ya nchi hizo mbili.






Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment