Serikali Sambamba na mashirika binafsi nchini tanzania yameombwa kushirikiana kwa ukaribu katika kulisaidia Taifa kupunguza idadi ya Watu wasiojua Kusoma na Kuandika kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya watoto wasiojua kusoma wala kuandika.
|
Wanafunzi |
|
Watoto wa Mitaani |
|
Wanafunzi wakiwa Darasani |
|
Watoto wa Mtaani wakiwa wanaomba msaada kwenye gari jijini DSM |
Mratibu wa kituo cha jipe moyo Sister Annunciata Chacha, yeye nimiongoni mwa watu waliobainisha juu ya suala hilo katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa mtaani kwenye ukumbi wa MCC huko manispaa ya Musoma mkoani mara.
Alisema Tanzania isipofanya mabadiliko kutakuwa na taifa lenye wajinga kutokana na watoto wengi kujiingiza katika ukusanyaji wa vyuma chakavu huku watoto wanaolelewa katika shirika hilo wakieleza changamoto kadha zinazowakabili.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment