Serikali imeshauriwa kuchukua hatua za makusudi kuimarisha uzalishaji wa mbegu nchini, badala kuagiza kutoka nje ya nchi, kwani hatua hiyo imekuwa ikichangia kushuka kwa uzalishaji wa kilimo.
|
Zao la Ufuta |
|
Zao la Mahindi |
Ushauri huo umetolewa bungeni Dodoma, na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Bi. Kidawa Ali Saleh wakati wa kuchangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa mwaka 2013/2014.
|
Maharagwe ya Soya Aidha, wabunge wengine waliopata fursa ya kuchangia hoja hiyo, waliishauri serikali kuwekeza katika miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji, huku wengine wakipinga mifumo ya stakabadhi ghalani kwani imekuwa ikiwanyonya wakulima. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment