Image
Image

EXCLUSIVE: WAKAZI WA KINONDONI HATARINI

Wakazi  na wafanyabiashara wa mtaa wa studio uliopo kinondoni jijini dsm wako hatarini kutokana na nguzo kubwa ya umeme iliyoko eneo hilo kuoza na kuwa hatarini kuanguka huku ikiwa imebeba nyaya nyingi za umeme .

Hatari kwa wapita Njia na Watoto
 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo  wamesema kubainika kuoza kwa nguzo hiyo ni kunatokana ujenzi wa barabara katika  eneo hilo ambapo baada ya kuchimba mitaro walibaini nguzo hiyo imeoza kwa asilimia 90 na iko hatarini kuanguka.

Wamedai  licha ya kutoa taarifa katika ofisi za tanesco kinondoni wamedai kuelezwa kuwa shirika halina nguzo hivi sasa au tanesco ikate umeme eneo hilo mpaka nguzo ya kubadilisha itakapopatikana.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment