Image
Image

HAYA NDIO MAJINA 16 YALIYOPENDEKEZWA NA RAIS UHURU PAMOJA NA NAIBU WAKE WILLIAM RUTO KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI NCHINI HUMO LEO.




1. CHARITY Ngilu - Ardhi, Makao na Ustawi wa Miji.
2. NAJIB Balala - Uchimbaji Madini.
3. Dkt. HASSAN Wario - Michezo, Utamaduni na Sanaa.
4. JUDI Wakhungu – apendekezwa Waziri wa Mazingira, Maji na Maliasili
5. FELIX Kosgey - Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
6. PROF. JACOB Kaimenyi - Waziri wa Elimu.
7. PHYLLIS Kandie - Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Biashara na Utalii.
8. MICHAEL Kamau - Uchukuzi na Miundo Msingi.
9. RACHEL Awuor Omamo – Waziri wa Ulinzi
10. DAVIS Chirchir - Waziri wa Kawi na Mafuta.
11. ANNE Waiguru - Waziri wa Ugatuzi na Mipango.
12. ADAN Abdulla Mohammed - Waziri wa Viwanda na Ustawi wa Ujasiriamali.
13. Dkt. FRED Matiangi - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia
14. HENRY K. Rotich - Waziri wa Hazina Kuu ya Kitaifa.
15. JAMES Macharia - Waziri wa Afya.
16. AMINA Mohamed - Waziri wa Mashauri ya Kigeni.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment