Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) akipanda mti kama kumbukumbu
ya uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango
cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini
Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi
huu umepata msaada waSerikali ya Marekanikupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne
ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq ufunguzi rasmi barabara
ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14. Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), na kulia kwake ni Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni
sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia
mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko
wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika
kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya
kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa
barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo
kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa na Bw.
Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa
Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya
Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani
ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya
Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa
barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati
ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la
Jumuiya ya Afrika
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment