Hayo yamesemwa na mbuge wa ilala Mussa Zungu wakati wa uzinduzi wa daraja la muda katika kata ya ilala na bunguruni mapema leo ambapo amesema kutokana na ufinyu wa bajeti ya halmashauri kuweza kujenga daraja la kudumu hivyo wameamua kuweka daraja la muda kwajili ya kuwasaidia wananchi kutatua kero hiyo ya muda mrefu kwa wakazi hao.
![]() |
Mussa Zungu...Mbunge wa ilala |
Kwaupande wao wakazi wa kata ya ilala wamesema kabla ya daraja hilo kujengwa walikuwa wakipata adha kubwa sana katika kuvuka kutoka upande mmoja kwenda wa pili hivyo kwasasa wamepata daraja hilo la muda ambalo limewarahisishia katika kuvuka .
Daraja hilo ambalo ni mkombozi wa kwa wakazi wa ilala na bunguruni limegharimu jumla ya shilingi milioni mbili na nusu.
0 comments:
Post a Comment