Image
Image

BAADA MEMBE KUONYA KIKUNDI CHA M23 BUNGE, SASA NAO WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KUPITIA MTANDAO WAO WA TWITTER.


Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni  kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.


Na  hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto.Bofya hapa chini kusoma zaidi bofya Hapo Chini

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment