Image
Image

IGP MWEMA AWAVISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment