Image
Image

EXCLUSIVE: JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LINAMSHIKILIA MTU MMOJA KUHUSIKA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKI LA ST JOSEPH OLASITI LEO ASUBUHI JIJINI ARUSHA

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja ambaye anahusishwa na kutokea kwa mlipuko uliotokea katika kanisa la Katoliki la St Joseph Olasiti Arusha leo asubuhi wakati Balozi wa Papa kutoka Vatican akizindua Parokia hiyo mpya Ya St Joseph Olasiti ya Jijini Arusha
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment