Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa Afrika kusini
Chanzo cha kifo hicho bado
hakijafahamika lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii huyo
hakuamka tangu alipolala jana.
Mtandao huu unaendelea kuifuatilia habari hii
RIP MANGWEA.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment