|
MANGWEA |
TAARIFA ILIYOTUFIKIA HIVI
PUNDE,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA,ALBERT MANGWEA
AMEFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI KATIKA HOSPITALI YA HELEN
TAARIFA ZA AWALI ZINASEMA KUWA
ALIPOLALA HAKUAMKA NA BLOG HII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILO LA
KIFO CHA MANGWEA NA TAARIFA KAMILI ITAKUJIA KADRI TUNAVYOPATA HABARI.
MRSEMVUAMSANGI BLOG INATOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA MSIBA HUU
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment