Image
Image

EXCLUSIVE: UMOJA WA AFRIKA WATARAJIA KUONGEZA USHIRIKIANO NA CHINA , KULINDA AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA.


Kamishna wa kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika Bw, Ramtane Lamamra jana alisema mjini Addis Ababa kuwa umoja huo unatarajia kuongeza ushirikiano na China katika juhudi za kulinda amani na usalama barani Afrika. 
 Bw. Lamamra alisema Umoja wa Afrika unatumai kusaini makubaliano halisi na China, ili kuongeza ushirikiano kati ya pande hizo mbili katika juhudi za kulinda amani na usalama barani Afrika. 

Bw.Lamamra alisema, anaona China inaweza kuusaidia Umoja wa Afrika kutekeleza operesheni ya kulinda amani, na pia inaweza kuusaidia umoja huo kufundisha majeshi, na kuyapatia zana za kijeshi.






Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment