MAREHEMU MANGWEA - ENZI ZA UHAI WAKE. |
Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go
Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)
Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR
(chorous)
Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...
(Chorous)
outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
Verse 1:
wachache ndo wanaishi
wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa
hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina
hata airports,
zaidi ya migodini
madini kuya export,
bila ya wazawa
kufaidika,
ndo mana wazanzibara
wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo
South sio Africa,
waliotangulia kupata
uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire
kutubambika,
meli zinazidi zama
wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo
tunao athirika,
wao ma vx yao ni
special order uhakika,
tutalia machozi ya
damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe
na watu hawajali,
leta mgomo baridi
uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go
Chorus
(bado nalia tu na
Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini
wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia
kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)
Verse 2:
viongozi wa siasa kama
viongozi wa dini,
mengi wanaongea
coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru
inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia
ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu
wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini
na rushwa and,
mabilioni yanayotumika
kwa campgain,
kama za kupinga
unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo
na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana
maneno bungeni,
bali watoto watoke
mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani
anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani
mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze
mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC
usione nakuTATOR
(chorous)
Verse 3.
Tanu ilifanya kazi
kubwa 61,
solution sio
labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa
chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa
iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri
yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado
tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO
!(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize
swali,una dini ?
Mkristu sali na
Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu
mungu,
Baada ya m weka z
usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio
kumtawala mkeo,
najiuliza maisha
yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa
vp ? Ingekuwa mziki ...
(Chorous)
outro yeah chamber
squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till
fade
0 comments:
Post a Comment