Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dk
Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa
wakati wa maadhimisho ya siku wa walinda amani iliyofanyika katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dk Emanuel Nchimbi
akizungumza na wananchi katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja mara baada ya
kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaaya kuadhimisha siku ya walinda amani.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment