Kupitia
Twitter, Makamba ameandika kuwa Tanzania ina matatizo matatizo mengi ya
kujadili kuliko nyimbo zakuchagua kucheza redioni. “We’ve got much bigger
problems than radio playlists, ” ametweet.
Katika
mahojiano maalum leo kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, mmoja wa
wakurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alidai kuwa ametoa amri leo
kituo chake kisicheze Bongo Flava.


0 comments:
Post a Comment