Image
Image

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI MHE ALEXANDRE LEVEQUE.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi. Balozi Leveque aliongozana na Mkurugenzi Mwandamizi na Mkuu wa Ushirikiano wa Canadian International Development Agency (CIDA), Bi Patricia McCullagh. Wa pili kushoto ni Balozi Dorah Msechu, Mkurugenzi katika Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anayeshughulikia kurugenzi ya Nchi za Ulaya na Amerika, akifuatiwa na  ofisa dawati Bi Upendo Mwasha. Picha na Ikulu

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment