Image
Image

PIGO KWA TASNIA YA MUZIKI WA BONGO FLAVA YAWAPOTEZA MANGWEA NA M TO THE P.


Taarifa zilizothibitishwa kutoka nchini Afrika Kusini ni kwamba yule msanii aliyepelekwa hospitali pamoja na Mwana Hip Hop, Albert Mangwair aitwaye M to the P naye amefariki dunia leo.


 M2 the P alipelekwa katika hospitali ya St Hellen iliyopo jijini nchini humo kwa matibabu baada ya kukutwa amepoteza fahamu akiwa na Mangwair aliyefariki dunia jana. 
Marehemu Albert Mangwair ( KUSHOTO)  akiwa na M2 the  P .  

Miili ya marehemu hao bado ipo katika hospitali ya St. Hellen na mipango ya kuhamisha miili hiyo bado inaendelea hivi sasa.
 
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa yawezekana Mangwair na M2 the P walikula chakula chenye sumu ambacho kimepelekea mauti hayo.

 Baadhi ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamejikusanya kwa ajili ya kuandaa mipango ya kuhifadhi miili hiyo pamoja na safari ya kuileta nchini Tanzania.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment