Image
Image

RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAPO KATIKA SAFARI YA KIKAZI -JAPAN

Rais Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan jana,  

Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa tano wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Japan na Africa.

Rais Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan jana.




Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Seneta Tetsuro Yano, Rais wa Association of African Economy and Development  (AFRECO) wakati Mama Salma akifuatana na Rais Kikwete walipohudhuria kwenye chakula cha usiku  (working dinner) kilichoandaliwa na seneta  huyo pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan  kuzungumzia uwekezaji  wa Japan kwa nchi za Afrika . Working dinner hiyo ilifanyika huko Tokyo nchini Japan tarehe 30.5.2013.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment