Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akizungumza na Wanamichezo wa Gofu kutoka Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam. |
Wachezaji wa mchezo wa Gofu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa ya Tanzania (haipo pichani) na waziri wa Michezo kuiwakilisha Tanzania nchini Zambia. |
0 comments:
Post a Comment