Image
Image

ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI WA (CCM) ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN. KUSINI

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua
pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi maduka ya  Chama Wilaya
Kusini Unguja,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama juzi.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
akamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akipata
maelezo kutoka Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Kazi
uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali
Suleiman,alipotembelea Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wilaya
Kusini ya CCM juzi,katika ziara ya Kuimarisha Chama.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza
risala ya wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,Kusini Makunduchi,baada
ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara  ya
Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]





Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment