Image
Image

EXCLUSIVE: TIBAIJUKA: AWATAKA WANANCHI KUWA NA UZALENDO ILI KUWEZA KUCHOCHEA KASI YA MAENDELEO.


Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa, ANNA TIBAIJUKA amewataka wananchi kuwa na tabia ya utaifa na uzalendo hususan katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kufanikisha miradi hiyo kwa wakati na kuchochea kasi ya maendeleo.
Prof  Anna Tibaijuka
Prof Tibaijuka ametoa rai hiyo jijini Dar es salaam wakati alipokuwa akizungumza na wakazi wa Makongo Juu katika manispaa ya Kinondoni waliokutana kujadili juu ya mradi wa uboreshaji na uendelezaji wa eneo hilo ili kupata ardhi kwa ajili ya huduma za jamii ambapo amewasisitizia kuwa wakazi watakaoathirika na mradi huo,watalipwa fidia kwa mujibu wa sheria na viwango vya soko na utakuwa mradi shirikishi.

Baadhi ya wakazi wa eneo hilo la makongo juu wakitoa maelezo yao yametaka kujua mustakabali wao katika mpango huo wa uendelezaji upya wa eneo hilo ikiwemo ujenzi wa viwanda vidogo,maeneo ya biashara na huduma nyingine za jamii. Eneo hilo linakadiriwa kuwa na kaya
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment