Rais jakaya kikwete leo amemwapisha Bi,Mwantumu Mahiza
kuwa Mkuu wa Skauti nchini kwa kipindi
cha miaka minne
|
Rais kikwete amemwapisha Bi,Mwantumu Mahiza |
Hafla hiyo imefanyika ikulu jijini dsm ambapo pia
ilihudhuriwa na wabunge na waziri mkuu mstaafu Salim ahmed Salim ambaye ni
mlezi wa skati hapa nchini.
|
Salim Ahmed Salim ( Kulia) Ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu Tanzania Akiteta jambo. |
Mara baada ya kuapishwa Bi,mahiza ambaye
pia ni mkuu wa mkoa wa pwani amesema Chama cha Skauti kinakabiliwa na
changamoto mbalimbali hivyo atafanya jitihada za kuhakikisha kinaimarika pamoja
na kuhuisha uhusiano wa skauti nchi za nje.
|
Bi,Mwantumu Mahiza |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment